House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(150,000X6)MBEZI LUGURUNI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI LUGURUNI #150𝖪 ==
Chumba cha kulala
Sebule kubwa
Jiko kubwa
Na Choo ndani ( master)
Inajitegemea umeme na maji
====
Kodi 150,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali KM 1.5 Usafiri bodaboda 1000
===
Nyumba haina uzio ila parking IPO na Usalama wa kutosha
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
CONTACT US:-
0716223412
0683597453
Napatikana muda wote karibuni sana wateja