House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(200,000 × 6) #MPYAA KABISA MBEZI MWISHO
APARTIMENT MPYA MPYA
KALI SANA ZINAPANGISHWA
KODI. 200,000
MALIPO MIEZI 6
=====
ZIPO MBEZI KWA YUSUFU BARABARA YA MPIGI MAGOHE
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI
KM 1.5
DALALI 700/=
BAJAJI 1000/=
=========
UKISHUKA TUU!
KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE GETI
====
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA MASTER KUBWA SANA
SEBULE KUBWA
NA JIKO NDANI KUBWA
ZIPO NNE 4/
NA KILA APATIMENTI INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
===
KODI 200,000/= × 6
______''
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300