House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment nzuri sana zinapangishwa MBEZI MWISHO LUGURUNI ilipo Manispaa ya Ubungo na Ofisi ya mkuu wa wilaya ya UBUNGO
Apartment hizi zipo za Aina mbili tofauti SOMA MAELEZO KWA MAKINI
Apartment hizi zinasifa zifuatazo:
(1.) Vyumba Viwili vya Kulala
Chumba kimoja master
Sebule kubwa jiko zuri kubwa na public toilet
Bei: 200,000 × 6
( ILIPWE YOTE NA #IMEBAKI_MOJA_TU )
Luku unajitegemea
Maji yanaflow ndani
(2.) Vyumba viwili vya kulala sebule kubwa jiko zuri na public toilet ( HAINA MASTER HII)
Bei: 150,000 × 6 (#IMEBAKI_MOJA_TU_WAHI)
Luku unajitegemea
Maji yanaflow ndani
Ndani ya fensi na Parking kubwa sana
Apartment hizi zipo MBEZI MWISHO LUGURUNI km 1.8 kutoka kituoni
Bodaboda 1000 tu mpaka mlangoni
Service charge ni shilingi 15,000
Agent fee is one month payment
Contact:
0654101710
0787205300