House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba hii ni kubwa ukubwa ni
chumba sebule choo jiko tuu 👈 luku yako pekeyako
Maji mita munashea
Kod sh laki 2 //
Malipo miezi 4 //👈
Ilipo njia ya mbezi beach kituo ni sicansca 👈
Umbali kutoka sitendi ya daladala ni dakika 8 kwamiguu kutembea tuu 👈
Fensi ipo kubwa get lipo kubwa
#0716623170