House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA MBEZI MWISHO JIA YA KINYEREZI KITUO MSIGAN
-------
Chumba kikubwa
Seble kubwa
Jiko kubwa
Choo ndani
Maji yana flow.
Ndani ya fence
----------
Service charge 15,000/=
Kodi 200,000/=ร6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2
------------
Contact
๐#0676_218580 (WhatsApp)
๐#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT ๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐