House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APATIMENTI KALI SANA MPYAA KABISA
IPO MBEZI MAGUFULI
UMBALI KM 1,
BODA 1000/
====
SIFA ZAKE
CHUMBA MASTAR KUBWA SANA
SEBULE KUBWA NA JIKO
LA KUJIACHIA
====
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
KODI 250,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI 250,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
====
ZIPO TATU KWENYE FENSI NA HII NDIO IPO WAZI
CONT
0683234124
0718367179