House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba hii ni
Chumba sebule choo jiko tuu 👈
Luku yako pekeyako
Maji mita yako pekeyako
Kod sh laki 2 malipo miezi 4
Umbali kutoka sitendi ya daladala ni dakika 3 kwamiguu kutembea 👈
Njia ya mbezi beach kituo ni sicansca umbali wa APTR ukitokea mwenge mukono wa kushoto 👈👈
Mazigila utulivu sana
#0716623170