House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
WAHI MPYAA MPYAA MPYAA KABISA
LOCATION: MBEZI MSAKUZI
KODI 60,000X4,5,6
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA KIZURI SANA
KINA TAILS JIPSUM DIRISHA KIOO
UMEME SHARE WA 2
MAJI SHARE
FENSI INAANZA KUJENGWA
UMBALI TOKA MBEZI MOROGORO ROAD KM 3
USAFILI BAJAJI 1000
DALA DALA 600
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
0712656027