House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam
(120,000X6)MBEZI KWA MSUGULI, 3KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 1000
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#INAPANGISHWA
#BILA ULUMA
BEI NI 120,000/= X 6
ILIPWE LAKI 1 NA ELFU 20 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
💥KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453