House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
WAHI MAPEMA KABISA HII SI YA KUKOSA BEI KITONGA KABISA 250,000X3X4X5X6
STENDI ALONE INA PANGISHA MBEZI KWA MSUGURI
SIFA ZA NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
INA VYUMBA V3 VYA KULALA KIMOJA MASTER
JIKO KUBWA LA NDANI
PIA KUNA JIKO LA NNJE
DAINI SEBULE KUBWA SANA KODI NI 250,000X3X4X5X6
INAJITEGEMEA KWA KILA KITU UMEME NA MAJI DAWASCO YAPO
PIA KUNA LISEVU TANK
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 2 BALABALA NIRAFIKI SANA
USAFILI BAJAJI 700
PKPK 1000
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHUGG NI 15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA CM CHAPU USITUME MESSAGE UTACHELEWA KUJIBIWA