House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


STAND ALONE YA NGUVU INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
SIFA ZAKE
INAVYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO
STORE
PUBLIC TOILET NDANI
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE INAJITEGEMEA YANYEWE
BEI NI 300,000 × 6 ILIPWE LAKI TATU KODI YA MIEZI SITA
KUTOKA MOROGORO ROUD KM 1.7 USAFIRI UPO WA BAJAJI 700
BODA 1000
UKIISHUKA KWENYE BAJAJI UNTEMBEA DAJIKA 3 UMEFIKA
BARABARA SAFI NI LAMI YA ZEGE
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300