House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 280,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE
#DINNING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI HII NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 280,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO #KIMARA_MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NA
#KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASI HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
#USAFIRI NI BAJAJI AU DALADALA SH 500
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0712348316Whatsp
#0769680796whtsp