House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(200,000 × 3) MBEZI MWISHO LUGURUNI ILIPO MANISPAA YA UBUNGO NA OFISI YA MKUU WA WILAYA YA UBUNGO
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA MBEZI LUGURUNI
=======
Chumba Cha kulala
Sebule
Choo ndani (public)
Jiko kubwa zuri la kisasa
=====
Bei:200,000 kwa mwezi x 3
======
Inajitegemea umeme na Maji,ndani ya fence parking ipo ya kutosha
======
Umbali KM 2.5 Usafiri bajaji zipo (SOMA VIZURI UMBALI) ILA USAFIRI UPO MUDA WOTE
====
Kupelekwa kuona Nyumba elfu 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
====
Contact:
0654101710
0787205300