House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT FOR RENT
Hii ipo Mbezi Mwisho Dsm ( Kimara )
Usafiri : 700, kutokea Mbezi Stand
#Sebule
#Dinning
#Jiko
#Stoo
#Public toilet
#Room 2 za kulala No Master
Luku yake Maji dawasa 24 hrs
Swipe left for more pictures
Bei Laki 1.3 x 6
Cont : 0713 - 796690 / 0758 - 767071 au 0686 - 325 935
Note : Kuja kuona nyumba 15,000
Dalali kodi ya mwezi 1