House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 14/04/2025 KUONA NDANI ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBS 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBILC TOILET
#MAKABATI YA NGUO VYUMBA VYOTE
#AIR-CONDITION
#PARKING KUBWA
#GARDEN
#FENSI IMEZUNGUSHIWA WAYA WA UMEME
#MAJI DAWASA YAPO MASAA 24
BEI NI 500,000/= X 6
APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND KUU YA MABASI YA MKOANI NA KUTOKA MOROGORO ROAD YA STAND HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI 20000
☎️ #0757208653