House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


250,000/= X6
APATIMENTI KALI YA KIFAMILIA
INAPANGISHWA
IPO MBEZI MAGUFULI STANDI
UMBALI KUTOKA STANDI NI KM 1,5
PKPK. 1000/
======
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI
KIMOJA NI MASTA
SEBULE KUBWA SANA
JIKO NDANI
NA CHOO CHA PABLIC
MAJI NDANI
LUKUKU YAKE
======
KODI 250,000/=X6
DALALI 250,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087