House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI MWISHO NYUMA YA STEND YA MKOWA KM1 KUTOKA STEND YA MKOWA BODA BUKU
--------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Slide window
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
-----------
Service charge 15,000/=
Kodi 350,000/=×4
------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.5
-------------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏