House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(100,000X4)MBEZI KWA MSUGURI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NYUMBA INAPANGISHWA
IPO - DAR ES SALAAM
📍ENEO- MBEZI KWAMSUGURI 
✔️CHUMBA 
✔️SEBULE
✔️CHOO NDANI YA NYUMBA
✔️CHOO MNASHARE WATATU
Upande wa kushoto kama unaenda mbezi
📍BEI - 100,000 x4
NYUMBA 
YENYE
______
🔸Chumba kimoja  na 
🔸Sebule
 👀 Choo kipo ndani umo umo hutoki nje mnashea 3
🔸 Maji yanatoka ndani
🔸Madrisha ya kioo
🔸Haipo kwenye fensi,ila usalama wakutosha
🔸Umbali wa 2.5km
Bajaji 700
Pk pk 1000
📍Service charge. 15,000 elfu
PIGA SIMU
0716223412
0683597453



















