House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(120,000X6)MBEZI KWA MSUGURI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENTS MPYAAAA KALI MNO INAPANGISHWA KWA MSUGURI UMBALI KM 1.8
CHUMBA MASTER KUBWA SANA
NA JIKO LAKE KUBWA
LENYE MAKABATI YA CHINI
NDANI YA FENSI SAFI
PARKING KUBWA SANAAA
MAJI YANAFLOW NDANI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
BEI 120,000 X6
WAHI CHAP
KUONA ELF 15
UKILIPIA MWZ 1 DALALI
PIGA SIMU
0716223412
0683597453