House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


HII SI YAKUKOSA KABISA
======================
OMBI LENU NIMEKUBALIWA IMESHUKA BEI SASA NI 350K
=======================
STAND ALONE YA NGUVU
INAPANGISHWA IPO MBEZI KWA MSUGURI
==================
SIFA ZAKE
########
INA VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
DINNINGI ROOM
JIKO SAFI LA KISASA
STORE
PUBLIC TOILET NDANI
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
=====================
BEI NI 350X6 ILIPWE LAKI TATU NA NUSU KODI YA MIEZI SITA
UKILIPA TU UNAPAKIWA LANGI
=====================
KUTOKA MOROGORO ROUD KM 2
USAFILI UPO WA BAJAJI 700
BODA 1000
UKISHUKA KWENYE BAJAJI
====================
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
===================
BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
===================
CONTACT
0742260844
0657384670