House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


:
APARTMENT INAPANGISHWA
#MAHALI - MBEZI BEACH
KODI LAKI 700,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
APART NZURI YA KISASA
YENYE:-
Vyumba Viwili vya kulala #Masta, #Sebule #dinning #Jiko zuri lenye #Makabati
#Gypsum #Tiles #aluminium #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space
Nje #Pavingblocks
#FencedApart
0716 776247
0754 221168