House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI LUGURUNI KARIBU NA OFFICE ZA MANISPAA YA UBUNGO KUTOKA LAMI BODA BUKU
-------
Vyumba 2 vya kulala vyote master bedroom
Seble kubwa sana
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati /stoo
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Heater ya maji moto maji baridi
Electronic fence
Garden safi
Mazingila mazuri sana
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000 /=
Kodi 500,000/=×4
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
----------
Contact
0719969102
0714903124