House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


BEI SH 300K X6
NI APATIMENTI KALI SANA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
IPO MBEZI STENDI YA MKOA MAGUFULI
UMBALI KUTOKA STENDI KM 1,5 PKPK 1000/
======
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI KIMOJAWAPO MASTA
SEBULE DAING JIKO NA CHOO CHA PABLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
=====
KODI 300,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI 300,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
=======
PIGA SIMU
0719969102
0714903124