House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 200,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA

💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA

BEI NI 250,000/= X 6

ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU

🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA

💥PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI NA UKAFIKA KWENYE HII NYUMBA NA NJIA ZOTE NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
__
#0714335450

#0714335450
__
PIGA SIMU

GOBA MBEZIBEACH MLIMANI CITY KIJITONYAMA SINZA MWENGE
dalali.goba
GOBA MBEZIBEACH MLIMANI CITY KIJITONYAMA SINZA MWENGE

Similar items by location

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 370,000

APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI _ MBEZI MASANA NJIA YA GOBA (Kwa sanya)______________...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

(600,000X6) MBEZI MWISHO MAGUFULI STAND..1.5KM BODA ELF MOJA ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖NYUMBA INAJITEGEMEA KWENYE F...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

(600,000X6) MBEZI MWISHO MAGUFULI STAND..1.5KM BODA ELF MOJA ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖NYUMBA INAJITEGEMEA KWENYE F...

2 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

#Repost Dalalimbezibeach_semba • • • • • •*BEACH HOUSE FOR SALE* LOCATION: *MBEZI BEACH, KIDIMBWI*Ny...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

120,000=/ KWA MWENZIMALIPO MIEZI 4CHUMBA-SEBURE-JIKO-CHOOLOCATION:MBEZI MSUMI CENTER DALADALA:700SIF...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

150,000=/ KWA MWENZIMALIPO MIEZI 3CHUMBA-SEBURE-CHOOLOCATION:MBEZI MWISHO/MSIGANIBODABODA:1000SIFA Y...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

150,000=/ KWA MWENZIMALIPO MIEZI 3CHUMBA-SEBURE-CHOOLOCATION:MBEZI MWISHO/MSIGANIBODABODA:1000SIFA Y...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

#APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA#BEI NI 250,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #CH...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

——100,000 x 3... MBEZI KWA MSUGURI Apartment nzuri sana Inapangishwa MSUGURI=== chumba Seble kubwa C...

1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

#APARTMENT_INAPANGISHWA#IKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI _ MBEZI BEACH______________________#CHUMBA_SEBULE_J...

2 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT KALI SANA ZINA PANGISHWA MBEZI LUGURUNI KARIBU NA OFFICE ZA MANISPAA YA UBUNGO KM1 KUTOKA ...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT Z8NA PANGISHWA MPYA KABISA MBEZI MWISHO NYUMA YA STEND YA MKOWA KM1 KUTOKA STEND YA MKOWA...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 400,000

#Repost Dalalimbezibeach_semba Apartment House for rent Chumba sebule jiko choo Price 400,000Kwamwez...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 550,000

#Repost Dalalimbezibeach_semba • • • • • •#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,300,000

#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#INAPANGISHWA # APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH ———————...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APATIMENTI KALI SANA YA KISASA INAPANGISHWAIPO MBEZI MAGUFULI STENDI YA MKOA=====UMBALI KUTOKA STEN...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APATIMENTI KALI SANA YA KISASA INAPANGISHWAIPO MBEZI MAGUFULI STENDI YA MKOA=====UMBALI KUTOKA STEN...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 280,000

APARTMENT NZURI MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 280,000X5X6💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI MWICHO B...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

APARTIMENT INAPANGISHWA TEMBONI KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI KM/ [3] KUFIKA MAARUFU SARANGA KWAMAKO...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

KODI 400000X6 ___________NYUMBA YA KUPANGA IPO MBEZI KWA MSUGURI ___________STENDI ALONI UMBALI WA K...