House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


STAND ALONE YA GHOLOFA
ZURI NA LA KISASA KABISAAA LINAPANGISHWA
GHOLOFA LIPO MBEZI MAZULU DAR
KODI NI 400,000 KWA MWEZI
NYUMBA IPO KARIBU NA BARABARA YA GOBA ROAD KUTOKA ROAD NI DKK 10 UMEFIKA
IPO KWENYE MANZALI TULIIVUU
NYUMBA YA VYUMBA V4 SEBULE (2) JUU NA CHINI NA MASTER 2 JUU NA CHINI DAINING JIKO, STORE KUBWA PUBLIC MBILI JUU NA NJE
HUDUMA ZOTE ZIPO
KARIBU SANA MTEJA NJOO
NB: KWA SASA KUNA CHANGAMOTO YA BARABARA IMETOKEA BAADA YA MVUA KWA IVYO GARI NI CHANGAMOTO KUFIKA KWA NYUMBA METER CHACHE
GARAMA ZA KWENDA SAIT NI 20,000
CONTACT
0742260844
0657384670