House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(350,000 × 6) MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND YA MKOA
APARTIMENT KALI SANA YA KIFAMILIA 
INAPANGISHWA
IPO MBEZI MAGUFULI STENDI YA MKOA
UMBALI KUTOKA STENDI
NI KM 1.5
USAFIRI NI BODABODA 1000 - 1500
=======
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI KIMOJA NI MASTER SEBULE KUBWA SANA 
JIKO LENYE MAKABATI NA CHOO CHA PUBLIC 
ZIPO NNE KWENYE FENSI 
KILA APARTIMENT INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
===
KODI 350,000/= × 6
======
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300




















