House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 170,000/= X 6 # MALIPO YA MIEZI 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
❌❌ HAKUNA PARKING YA CHOMBO CHA MOTO ILA ZIPO NDANI YA FENSI ❌❌
BEI NI 170,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HIZI ZIPO #MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8
#USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA UPO MASAA 24
#PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI NA USAFIRI PIA UPO WA BAJAJI AU BODABODA NA UNAFIKA HADI KWENYE NYUMBA
#SERVICER_CHARGER_15000
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0712348316WhatsAp
#0769680796whtsp