House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 500000X6
====
NYUMBA YA KUPANGA STENDI ALONI
IPO YENYEWE KWENYE FENSI
====
IPO MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA
UKITOKA MBEZI KILOMITA 2 HADI KWEMYE NYUMBA
÷÷÷÷
UKISHUKA KWENDA KWENYE NYUMBA KUTEMBEA DAKIKA 4
=====
SIFA YA NYUMBA INA
VYUMBA VYA KULALA VITATU KIMOJA MASTA KUBWA
÷÷÷÷
SEBULE KUBWA DAININGI JIKO KUBWA
KUNA CHUMBA CHA KUSOMEA PIA
====
CHOO CHA PABILIKI
MAJI DAWASKO
BARABARA NZURI
======
KUPELEKWA KUONA 20000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
××÷×
CNA CHENI NAMALIZA
0716171830
0789352273