House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
PIGA SIMU 0658304822
💥 DETAILS
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE YA WASTANI
‼️HAKUNA MASTER BEDROOM
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 300K X 6
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TU
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU ISHIRINI.20,000