House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI SHILINGI 500,000/=
0677445508
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 14/04/2025 KUONA NDANI ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
๐ NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBS 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBILC TOILET
#MAKABATI YA NGUO VYUMBA VYOTE
#AIR-CONDITION
#PARKING KUBWA
#GARDEN
#FENSI IMEZUNGUSHIWA WAYA WA UMEME
#MAJI DAWASA YAPO MASAA 24
BEI NI 500,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND KUU YA MABASI YA MKOANI NA KUTOKA MOROGORO ROAD YA STAND HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI
0677445508