House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM
MAHALI _ MBEZI BEACH NYUMBA LAMI
CHUMBA_SEBULE_JIKO_CHOO
KODI TSHS LAKI 300,000/= KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
NEW APART APARTMENT
YA KIBACHELA
YENYE:-
Chumba kimoja tu cha kulala Na Sebule
na Jiko Lenye Makabati
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme upo wa Luku yake
Maji yapo ya bomba 24hrs
Cars Parking Space ipo
pervingblocks
FencedApart
0719082300
0692904876
0762652066
Dalali mbezibeach africana