House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







#APARTIMENT KALI SANA INAPANGISHWA IPO MBEZI KIBANDA CH MKAA KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI
USAFIRI BAJAJI 700/ BODA BUKU UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
JINSI ILIVYO
#CHUMBA MASTAR KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA
#PABLICK TOILET
#INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
MAJI YANAFLWOR JIKONI NA CHOONI
IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
KODI 250 X 4, 5, 6, 12
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343