House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYAA KABISA ZINAPANGISHWA
LOCATION MBEZI MWISHO NJIA YA MPIGI MAGOE KITUO MACHIMBO
KODI 250.000×4/5/6
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI LA NDANI
PUBLIC TOILE YA NDANI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KM 3
USAFIRI BAJAJI 1000 DALADALA NAULI 600
UKISHUKA KWENYE USAFIRI DAKIKA 3 UPO KWENYE NYUMBA
PARKING SPACE FULL PEVING BLOCKS
BARABARA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA BILA KUSAHAU MALIPO MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
06552
56419