House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(250,000 × 5,6) MBEZI MWISHO NJIA YA MPIGI MAGOHE
WAHI MAPEMA KABISA HII SI YA KUKOSA BEI MSELELEKO KABISA
KODI NI 250,000 × 5,6
INAPANGISHWA MBEZI NJIA YA MPGI MAGOHE
SIFA ZA NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
INA VYUMBA V2 VYA KULALA KIMOJAWAPO MASTER
JIKO KUBWA LA KISASA
SEBULE KUBWA SANA
INAJITEGEMEA KWA KILA KITU UMEME NA MAJI DAWASCO YAPO
YANA FLOW NDANI
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI km 3
USAFIRI BAJAJI 1000 AU DALADALA 600
UKISHUKA UNATEMBEA DK 1TU UPO NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI SHILLINGI 15000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
BARABARA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
PIGA CM CHAPU UPATE KITU POA KABISA
Contact:
0654101710
0787205300