House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Posted withregram β’ dalalimbezibeach_ibra
Nyumba ni mpyaaa kabisa Chumba seble jiko na choo a/c
Ina pangishwa
Ipo mbezi beach goigi mita 100 kutoka lami nyumba ipo
Kalibu mno na lami
Bei laki 300,000/= kwa mwezi
Muda wa malipo miezi 6
Kwa maelekezo zaid pga sim
π² 0743688011
SERVICE CHARGE YA KUONYESHWA NYUMBA NI 20K