House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA
BEI NI 450,000/= X 3
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA YA KUTOSHA
BEI NI 450,000/= X 3
ILIPWE LAKI 4 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 3 NA KUENDELEA
ποΈ APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0742260844
0657384670