House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI KUBWA IPANGISHWA IPO JIRANI NA BARABARA BEI NI 700,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#MAKABATI YA NGUO VYUMBA VYOTE
‼️ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PUBLIC TOILET
#GARDEN
#PARKING KUBWA
BEI NI 700,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO #KIMARA_KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU AU BAJAJI SH 50O NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO
💥NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
#SERVICER_CHARGER_20000
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0769680796whtsp
#0712348316Whatsp