House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
(330,000 ร 6) MBEZI MWISHO NJIA YA GOBA MWANZONI KABISA/KITUO SHERI
Hapa Kuna Apartment MOJA
yenye:-CHUMBA + SEBLE+JIKO +CHOO๐
#Makabati ya jikon
#Makabati ya nguo
#A\/C
#Finishing ya kisasa
#LUKU yake
#DAWASCO-Mita yake
#Mlinzi-free
#USAFI wa nje -free
#Garden -free
#Kutoa taka-free
#Paving blocks-nje
#parking ya kutosha
KODI-330,000\/=MWEZI . Tunapokea kuanzia miezi 6
Hizi nyumba ni mpya kabisa zipo finishing
Kuona na kulipia ruksa
Inakuwa wazi tareh 19.10.2024
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni kodi ya Mwezi mmoja
Simu 0757 404087