House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA;
#CHUMBA_MASTA_SEBULE
Kodi :: Tsh 250,000/= kwa Mwezi ..MAONGEZI KIDOGO YAPO
ITAKUA WAZI MWISHO WA MWEZI HUU ILA KUONA NYUMBA NA KULIPA NI RUKSA
Location :: MBEZI BEACH TANGI BOVU UPANDE WA JUU UMBALI DAKIKA 10 KUTEMBEA,, BODA BODA 1000
.
๐Chumba Kimoja Masta
๐Sebule HAKUNA JIKO
๐Luku Yako & Maji yapo
๐Parking Space ipo.
SERVICE CHARGE YA KUONYESHWA NYUMBA NI 25K
.
Call
๐ฒ 0682 402 327 ๐ถ
๐ฒ 0653 267 999 ๐ถ ya WhatsApp