House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam
13_
APARTMENT INAPANGISHWA
SIFA ZAKE:
✓ 1 master bedroom
✓ Sitting room
✓ Jiko
✓ Public toilet nje
✓ Private luku
✓ Private water meter
✓ Maji yanaflow ndani
✓ Fence
✓ Parking space kubwa
KODI:
200,000/= Tsh kwa mwezi, malipo kwa miezi 6
LOCATION:
Mbezi mwisho njia ya makabe, Dar es salaam, kilomita 1.5 from morogoro road
SERVICE CHARGE:
15,000/=Tsh kuoneshwa nyumba au kodi ya mwezi mmoja biashara ikifanyika
|| 0716501815