House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APATIMENT INAPANGISHWA IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI KM/1/5 KUFIKA USAFIRI BAJAJI BUKU UKISHUKA UNATEMBEA DK 6 AU BODA 1500/ MPAKA NYUMBANI
NI CHUMBA MASTAR SEBULE JIKO NA PUBLIC TOILET
INAJITEGEMEA UMEME MAJI SHEA
MAJI YANATOKA JIKONI NA CHOONI
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI USALAMA WAKUTOSHA KUNA CCTV KAMERA
KODI NI 180,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
NYUMBA INAFANYIWA UKARABATI
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0742260844
0657384670
0788296797
.
.
NA VIWANJA VINAPATIKANA NDG MTEJA WANGU