House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA#250,000/= X 6. ST.JOSEPH CHUO_MBEZI
NYUMBA MPYA KABISAAA
📌Mahali:CHUO CHA ST.JOSEPH (Dsm) 🇹🇿
PIA UNAWEZA PITIA MBEZI MWISHO STAND NDOGO YA DALADALA
Umbali:2.5 Km BODA 1000
MUUNDO ÷
✔️Vyumba 3 vy kulala
📍Kimojawapo Kikubwa ni Master
✔️Choo ndani cha wageni
✔️Dinning 🍽
✔️Jiko Zuri La Kisasa
✔️Nyumba Ni nzuri mnoo
✔️ Mazingira Mazuri mno
✔️Imejitenga Peke Yake Kwa Pembeni.
HUDUMA
✔️Maji (YAPO NDANI
✔️Umeme _LUKU YAKO
📌 Ndani Ya Fensi & PARKING KUBWA SANA
‼️Paving blocks
KODI; 250,000/=TZS. Kwa Mwezi
Malipo ni Miezi 6 + Mwezi 1 wa dalali
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000
⬇️
Simu/06 59 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 56 37