House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI YA KISASA YA FAMILIA IPO MTAA MZURI SANA WA KISHUA MAENEO YA MBEZI BEACH MAKONDE INAPANGISHWA
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PARKING
#KWENYE FENSI MOJA ZIPO NYUMBA ZA AINA TOFAUTI NA ZIPO MBALI MBALI NA KILA APARTMENT INAJITEGEMEA YENYEWE KWA KILA KITU
BEI NI 800,000/= X 6
ILIPWE LAKI 8 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️MJENGO HUU WA KISASA UPO MBEZI BEACH MAKONDE NA KUTOKA BAGAMOYO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr. Sparrow