House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


400,000x5,6 mbezi kwa Isufu dk 5 toka lami
——
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA KUBWA NDIO INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6,5
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA PIA VYOTE NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LINAWEKWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#GARDEN
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA MPYA KABISA UNAZINDUWA MWENYEWE
BEI NI 400,000/= X 6
ILIPWE LAKI 4 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU AU 5
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI HIGH UMBALI WA DAKIKA 5 TU BODABODA SH ELFU 1 TUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0679 956 863
#0759151524