House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APATIMENTI NZULI SANA INAPANGISHWA
IPO MBEZI MAGUFULI
UMBALI KUTOKA MAGUFULI STENDI NI KM 1,5
===
USAFILI BODA 1000/
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA MASTER
SEBULE KUBWA
NA JIKO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
====
KODI 200,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI 200,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
====
CONT
0683234124
0718367179