House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Mbezi Mwisho, Jirani na Stendi ya Mkoa
🕑1.5km Kutoka Morogoro Main Road, Usafiri wa Piki Piki 1000 tu Mpaka Hapo.
#SIFAZAKE
🔹Vyumba Vitatu, Viwili ni Master
🔹Sebule kubwa
🔹Dining
🔹Jiko
🔹Choo cha familia
🔹Umeme & Maji Inajitegemea
🔹Fenced Car Parking
👉Ziko Apartment 2 Kwenye Compound na hii moja ndio Iko Wazi
🔶Kodi Tsh 500, 000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Jose Tsh 500, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊