House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APATIMENTI KALI SANA YA KISASA INAPANGISHWA
IPO MBEZI MAGUFULI STENDI YA MKOA
=====
UMBALI KUTOKA STENDI NI KM. 2,5
USAFILI BODA 1500/=
====
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA MASTER KUBWA SANA
SEBULE KUBWA NA JIKO NDANI
UMEME SABMITA
MAJI DAWASA YANATOKA CHOONI NA JIKONI
IPO NDANI YA FENSI PAKING SPESI KUBWA
=====
KODI. 150,000/=X3
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI. 150,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA