House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(150,000 × 6) MBEZI KWA MSUGURI
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#KIBALAZA
#LUKU INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 150,000/= × 6
ILIPWE LAKI 1 NA ELFU 50 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2
USAFIRI NI BAJAJI 700
NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
BODABODA 1000
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact;
0654101710
0787205300