House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


HII SI YAKUKOSA KABISA
OMBI LENU NIMEKUBALIWA IMESHUKA BEI SASA NI 350K
STAND ALONE YA NGUVU
INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
SIFA ZAKE
INAVYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
DINNINGI ROOM
JIKO SAFI LA KISASA
STORE
PUBLIC TOILET NDANI
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
BEI NI 350X6 ILIPWE LAKI TATU NA NUSU KODI YA MIEZI SITA
UKILIPA TU UNAPAKIWA LANGI
KUTOKA MOROGORO ROUD KM 2
USAFILI UPO WA BAJAJI 700
BODA 1000
UKISHUKA KWENYE BAJAJI
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15
UKIIPENDA UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
0655256419