House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI LUGURUNI #300K
===
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
====
Bei: 300000 Kwa mwezi × 6
====
Inajitegemea umeme na maji fence na parking uhakika
===
Umbali dakika 12 Kwa mguu toka kituoni
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
PIGA cm 0785889413